China inajenga hospitali mpya katika muda wa wiki mbili

Apr 2, 2020 coronavirus wiki
China inajenga hospitali mpya katika muda wa wiki mbili 1

China inajitahidi kujenga hospitali mbili mpya katika muda wa wiki mbili kuwatibu wagonjwa wakati huu wa mripuko wa virusi hatari vya Corona ambavyo vimewaathiri mamia ya watu. Hii ni kulingana na shirika la habari la serikali hiyo. Je unafikiri ni hatua gani zaidi za udhibiti zinazopaswa kuchukuliwa na China pamoja na mataifa mengine kuzuia kuenea zaidi kwa virusi vya ugonjwa huo?

Leave a Reply

Your email address will not be published.